Dakar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 19:
'''Dakar''' ni [[mji mkuu]] wa [[Senegal]] ikiwa na wakazi 2,352,000. Iko kwenye rasi la Verde ambalo ni pembe la magharibi ya [[Afrika]]. Bandari yake ina nafasi nzuri kwa biashara na [[Ulaya]] na [[Amerika]].
 
Mji ulianzishwa na [[Ufaransa|Wafaransa]] mwaka 1857 walipoondoka kisiwa cha [[Goree]] kisiwani kuhamia bara. Ukapata bandari ya biashara na pia bandari ya kijeshi halafu ukawa mwanzo wa reli katika Senegal. Mwaka 1902 Dakar ilikuwa mji mkuuwamkuu wa Afrika ya Magharibi ya Kifaransa badala ya [[Saint-Louis]]. Kati 1959 hadi 1960 ilikuwa mji mkuu wa [[Shirikisho la Mali]], baadaye mji mkuu wa Senegal.
 
Kisiwa cha Goree ambacho sasa ni sehemu ya mji kilikuwa kati ya vituo muhimu yavya [[biashara ya watumwa]]. Boma la Fort D'Estrees [[Gorée]] kisiwani ilikuwahumo lilikuwa gereza la watumwa kabla ya kupelekwa kwenye meli na leo ni makumbusho.
 
== Walizaliwa Dakar ==