Jimbo Katoliki la Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jimbo katoliki la Iringa''' (kwa Kilatini Dioecesis Iringaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Jimbo katoliki la Iringa''' (kwa [[Kilatini]] Dioecesis Iringaënsis) ni mojawapo kati ya ma[[dayosisi|jimbo]] 33 ya [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Tanzania]] na kama hayo yote linafuata [[mapokeo ya Kiroma]].
 
Makao makuu yake yako [[Iringa]] katika [[mkoa wa Iringa]], lakini linaenea pia katika [[mkoa wa Njombe]] na katika [[mkoa wa Mbeya]].
 
[[Kanisa kuu]] limewekwa wakfu kwa [[Moyo Mtakatifu]] wa [[Yesu]].
Kikanisa linahusiana na [[jimbo kuu]] la [[Songea]].
 
Kikanisa linahusiana na [[jimbo kuu]] la [[Songea]] kuanza tarehe [[18 Novemba]] [[1987]].
 
[[Askofu]] wake ni [[Tarcisius Ngalalekumtwa]].
 
[[Parokia]] ni 33.
 
Anwani ya [[posta]] ni: P.O. Box 133, Iringa, Tanzania.
 
==Historia==
Line 25 ⟶ 31:
 
==Takwimu==
Eneo ni la kilometa mraba 43,318, ambapo kati ya wakazi 2,367,962 ([[2006]]) Wakatoliki ni 588,438 (24.9%). Mapadri ni 92, wakiwemo [[wanajimbo]] 53 na [[watawa]] 39. Kwa wastani kila mmoja anahudumia waamini 6.396. [[Shemasi]] ni 1, ma[[bruda]] ni 206 na ma[[sista]] 549.
 
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.gcatholic.com/dioceses/diocese/irin0.htm Giga-Catholic Information]
* [http://www.catholic-hierarchy.org/diocese/dirin.html Catholic Hierarchy]
*[[Annuario pontificio]] ya mwaka 2007 na kurudi nyuma katika [http://www.catholic-hierarchy.org www.catholic-hierarchy.org] alla pagina [http://www.catholic-hierarchy.org/diocese/dirin.html]
* [http://www.vatican.va/archive/aas/documents/AAS%2014%20%5B1922%5D%20-%20ocr.pdf Hati ''Quae rei sacrae''], AAS 14 (1922), p. 221
* [http://www.vatican.va/archive/aas/documents/AAS%2040%20%5B1948%5D%20-%20ocr.pdf Hati ''Digna sane''], AAS 40 (1948), p. 306
* [http://www.vatican.va/archive/aas/documents/AAS%2045%20%5B1953%5D%20-%20ocr.pdf Hati ''Quemadmodum ad Nos''], AAS 45 (1953), p. 705
*{{en}} [http://www.gcatholic.com/dioceses/diocese/irin0.htm Scheda della diocesi] su [http://www.gcatholic.com/ www.gcatholic.com]
*{{en}} [http://tecdirectory.tripod.com/diringa.htm Scheda della diocesi] sul Sito della Conferenza episcopale della Tanzania
 
 
[[Category:Kanisa Katoliki Tanzania|MahengeIringa]]
 
[[de:Bistum Iringa]]