Hija : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Desturi ya kuhiji iko katika dini mbalimbali.
* [[Ukristo|Wakristo]] hasa wa madhehebu ya Kiorthodoksi na Katoliki wanajua hija kwenda [[Yerusalemu]], [[Roma]] na mahali pengine.
* [[Uislamu|Waislamu]] huwa na [[hajj]] kutembelea [[Makka]], [[Washia]] wanatembela pia makaburi ya maimamu yao huko [[Najaf]], [[Karbala]], [[Mashhad]] na penginepo.
* [[Uhindu|Wahindu]] huhiji mahali pengi hasa mji wa [[Benares]] na [[mto Ganges]]