Mfalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Wafalme na watawala wengine: ainisha {{mbegu}} using AWB
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:FormForms of Governmentgovernment.pngsvg|thumb|450px|'''Aina za serikali duniani'''
aina za [[Jamhuri]]: buluu, kijani, njano na machungwa;
'''[[Ufalme]]''':
'''nyekundu''' Ufalme wa kikatiba, mfalme ana madaraka madogo tu ya kisiasa
'''dhambarau''':Ufalme wa kikatiba, mfalme ana madaraka makubwa
'''dhambarau nyeusi''': mfalme ana madaraka yote habanwi na katiba
'''Mengine''': Utawala wa chama kimoja au kamati ya kijeshi]]

'''Mfalme''' ni mtawala wa kiume juu ya nchi katika utaratibu wa [[ufalme]]. Kwa kawaida amerithi cheo chake kutoka mzazi wake aliyekuwa mfalme pia. Lakini kuna pia wafalme waliochaguliwa au kuteuliwa kwa namna nyingine hasa kama mfalme aliyetangulia alikufa bila mrithi.