Sydney : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: so:Sydney
Copyedit.
Mstari 1:
[[Picha:Sydney opera house and skyline.jpg|thumb|right|300px|[[Jumba la Sanaa la Sydney|Jumba la sanaa la mjini Sydney]] na [[Bandari ya Jackson]]]].
'''Sydney''' ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya [[Australia]]. Sydney ni mji mkubwa wa [[New South Wales]]. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini [[Australia]]. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya [[Uingereza]], na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa [[Uingereza|Kiingereza]] na [[Ireland|Kiayalendi]]. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika [[Australia]]. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.
 
== Viungo vya nje ==
{{commonsCommons category|Category:Sydney|Sydney Australia}}
{{Commons|Sydney}}
 
* [http://www.livingharbour.net/aboriginal/introduction.htm Australian Museum: Aboriginal people of coastal Sydney]
* [http://www.usyd.edu.au/su/macleay/81106/huntbplaces.html Historic photographs of Sydney buildings]
 
 
 
{{Mbegu-jio-Australia}}