Hajj : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
Hajj inakwisha kwa kuzunguka Kaaba mara ya tatu na mwisho.
 
WahajiMahujaji wengi wanatumia nafasi kutembela mji wa [[Madina]] baada ya hajj na kuona msikiti wa mtume.
 
Mwislamu aliyetimiza safari hii anapewa cheo cha heshima [[alhaji]] au [[hajja]] kwa wanawake.
Mstari 21:
Safari ya kutembela Makka nje ya siku za hajj huitwa umrah haina cheo sawa na hajj yenyewe.
 
Idadi ya watu wanaofika kwenye hajjmahujaji inaelekea kuwa milioni tatu kila mwaka. Hadi mwaka 2006 ajali nyingi zilitokea kutokana msongamano mkubwa wa watu lakini baadaye serikali ya Saudia imeajiri wataalamu kutoka kote duniani kupanga njia salama kwa wanahajjmahujaji hasa kwa kutenganisha watu wanaoelekea pande mbalimbali na njia za kufika na kuondoka. Siku hizi mahali ambako watu wengi wanatakiwa kuzunguka sehemu moja zimejenhewazimejengewa majengo ambako watu wanaweza kutembea kwenye ghorofa wakati mmoja.
 
==Marejeo==