Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza
nyongeza
Mstari 59:
== Vita ya Abushiri na mwisho wa utawala wa Kampuni ==
<sup>tazama [[Vita ya Abushiri]]</sup>
 
Badiliko hili lilisababisha upinzani na hatimaye ghasia ya wenyeji. Vipengele ya mkataba vilisema ya kwamba mali isiyokuwa na hati za kimaandishi haiwezi kutambuliwa. Wenye mali kama mashamba walitakiwa kununua hati kutoka kwa watawala wapya. Hapo Waswahili wa pwani walijisikia walisalitiwa na sultani asiyekuwa na haki kuchukua mali zao na kuzipa kwa wageni wa nje.