John Eccles : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: uk:Джон Еклс
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Eccles and Hoschl.jpg|thumb|250px|John Carew Eccles & Cyril Höschl]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''John Carew Eccles''' ([[27 Januari]], [[1903]] – [[2 Mei]], [[1997]]) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya [[Australia]]. Hasa alichunguza mawasiliano ya [[neva]]. Mwaka wa [[1963]], pamoja na [[Alan Hodgkin]] na [[Andrew Huxley]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''. Alipewa cheo cha "Sir".