Istanbul : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: cu:Цѣсар҄ь Градъ
nyongeza
Mstari 1:
[[Picha:Kizkulesi at night.jpg|thumb|right|250px|Mnara wa Binti ni kati ya alama za Istanbul.]]
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya [[Ulaya]]dunia. Huu ndiyo mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].
 
MjiEneo wala Istanbul upolinaelekea pande zote mbili za [[mlangobahari]] maarufuwa [[Bosporus]] unaotenganisha bara la [[AsiaUlaya]] na [[UlayaAsia]]. Hivyo ni mji wa pekee duniani uliopo katika mabara mawili.
Awali jiji hilo lilikuwa linajulikana kwa jina la '''[[Bizanti]]''', mpaka [[Kaisari]] [[Konstantino]] alipopanua na kulipa jina lake mwenyewe '''[[Konstantinopoli]]''' (yaani mji wa Konstantino) (kwa [[Kituruki]] unatajwa İstanbul).
 
Kiini cha kihistoria kipo upande wa Ulaya kwenye sehemu yenye umbo la rasi baina [[Bahari ya Marmara]] na [[Pembe la Dhahabu]] ambayo ni mkono wa bahari unaoingia ndani ya nchi na hivyo mahali pa mji ulikingwa kwa bahari pande tatu.
Zamani uliwahi kuwa mji mkuu wa [[Dola la Roma]], halafu wa [[Dola la Osmani]] hadi mwaka [[1923]].
 
==Historia==
Kuwepo kwa bandari kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika [[Uturuki]].
Mji huu umebadilisha jina lake mara kadhaa katika historia yake ya zaidi ya miaka 2600. Awali jiji hilo liliundwa mnamo mwaka 660 KK na Wagiriki kwa jina la '''[[Bizanti]]'''. Mnamo mwaka 330 BK [[Kaisari]] [[Konstantino]] aliufanya kuwa mji mkuu wa Dola la Roma akaupanua ukajulikana kama '''[[Konstantinopoli]]''' (yaani mji wa Konstantino).
 
Konstantinopoli uliendelea kama mji mkuu wa [[Dola la Roma]] na baadaye Roma ya Mashariki uliojulikana pia kama [[Milki ya Bizanti]] hadi 1453 ambako mji ulitwaliwa na Waturuki. Tangu mwaka ule uliendelea kama mji mkuu wa [[Milki ya Osmani]] hadi mwaka [[1923]]. Baadaye serikali ya Uturuki ilihamia [[Ankara]].
Mji wa Istanbul upo pande zote mbili za [[mlangobahari]] maarufu unaotenganisha bara la [[Asia]] na [[Ulaya]].
 
Wakati wa Waosmani majina mbalimbali yalitumiwa: Konstantinopoli au kwa kifupi "Konstantiniye", halafu tangu karne ya 18 pia "Istanbul". Tangu 1873 jina rasmi kwa Kituruki lilikuwa "Istanbul".
 
Kuwepo kwa bandari kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika [[Uturuki]].
 
Katika [[Ukristo]] ni muhimu kama makao ya [[Askofu]] wa pili kwa heshima kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na [[Mtaguso Mkuu|mitaguso mikuu]] ya [[karne ya 4]].
 
Hadi vita ya kwanza ya dunia Istanbul ilikuwa na wakazi wengi wakristo hasa Wagiriki na Waarmenia. Waarmenia waliteswa wakati ule wakapungua na baada ya vita Wakristo walibaguliwa kwa jumla kwa hiyo wengi walihamia Ugiriki. Leo hii Wagiriki waliobaki ni 2000 - 3000 pekee na Waarmenia ni takriban 50,000.
 
==Majengo==
Istanbul huwa na majengo mengi ya kihistoria kama vile
*[[Hagia Sofia]] ilikuwa kanisa kuu la Konstantinopoli ilijengwa kwa amri ya Kaisari Justiniano na kukamilishwa mwaka 537
*Ukuta wa Theodosio ulioimarishwa kwa amri wa Kaisari huyu na kuwa kinga la mji hadi uvamizi wa Waturuki.
*Makanisa ya kale, mengine kati yao yamebadilishwa kuwa misikiti
*Mnara wa Galata uliojengwa na Waitalia katika sehemu yao ng'ambo la Pembe la Dhahabu
*Misikiti mikubwa ya Milki ya Osmani kama vile [[Msikiti wa Suleymaniye]], [[Msikiti wa Sultan Ahmad]] na majengo mbalimbali ya [[Mimar Sinan]]
*[[Topkapi]] iliyokuwa ikulu ya masultani hadi 1923 na leo hii kati ya makumbusho muhimu duniani
 
 
== Elimu ==