Istanbul : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza
nyongeza
Mstari 1:
[[Picha:Kizkulesi at night.jpg|thumb|right|250px|Mnara wa Binti ni kati ya alama za Istanbul.]]
[[Picha:Istambul and Bosporus big.jpg|thumb|300px|Istanbul kwa macho ya ndege; juu iko Bahari Nyeusi, chini Bahai ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa Bospurus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya]]
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya dunia. Huu ndiyo mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].