Tofauti kati ya marekesbisho "Rhodesia"

60 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
(New page: '''Rhodesia''' ni jina la kihistoria kwa ajili ya maeneo ya nchi za kisasa Zimbabwe na Zambia wakati wa ukoloni kuanzia 1895. Lamaanisha hasa nchi za * '''[[Rhodesia ya Kusi...)
 
No edit summary
* '''[[Rhodesia ya Kusini]]''' ('''Zimbabwe''') iliyojulikana kama "Rhodesia" tu kati ya 1964 na 1979 pia kama Zimbabwe-Rhodesia mwaka 1979 kabla ya kuitwa "Zimbabwe" pekee.
 
* '''[[Rhodesia ya Kaskazini]]''' iliyokuwa [[eneo lindwa]] la Uingereza na kupata uhuru wake kama "'''Zambia'''" mwaka 1964.
 
* Huko [[Uingereza]] kuna pia kijiji kinachoitwa "Rhodesia" katika wilaya ya [[Nottinghamshire]] takriban kilomita 30 kusini ya mji wa [[Sheffield]]. Haina uhusiano na historia ya jina la nchi za Afrika.
 
{{maana}}