Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: na:Gana
d →‎Elimu: Kuondolewa picha kutoka makala kama ni zamani wa jinsi gani wanawake katika Ghana ni.
Mstari 291:
{{Main|Education in Ghana}}
{{Contradict-other|Education in Ghana|date=July 2009}}
[[Picha:Nsawam dora textil group.jpg|thumb|right|100px|Kikundi cha vitambaa cha Dora katika eneo la Nsawam]]
[[Picha:Ucc.sci.nc.jpg|thumb|left|200px|Chuo Kikuu cha Cape Coast]]
Kiwango cha kujua kusoma na kuandika kwa watu wazima kilikuwa 65% mnamo 2007, huku wanaume wakiwa 71.7% na wanawake wakiwa 58.3%. Nchi ya Ghana ina mfumo wa elimu ya msingi wa miaka 6 kuanzia umri wa miaka sita, na, chini ya mageuzi ya elimu yaliyotekelezwa mnamo 1987 na kurekebishwa mnamo 2007, watoto huingia katika mfumo wa miaka mitatu wa elimu ya upili ya daraja la chini. Mwishoni mwa mwaka wa tatu katika shule ya upili ya Junior High, kuna mtihani wa lazima unaojulikana kama Basic Education Certificate Examination (BECE). Wale wanaoendelea na masomo ni lazima wamalize masomo ya miaka mitatu ya shule ya upili ya daraja ya juu (senior high school - SHS) na kufanya mtihani wa kukubaliwa kuingia katika masomo ya chuo kikuu au taasisi yoyote ile.