Rhodesia ya Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Rhodesia ya Kusini''' ilikuwa jina la koloni ya Uingereza katika Afrika ya Kusini iliyopata uhuru kwa jina la "Zimbabwe" tangu mwaka 1980. ==Kuundwa na Cecil Rhodes== Kolon...
 
sahihisho dogo
Mstari 22:
 
==Mapambano ya uhuru kuanza==
Baada ya vita kuu ya pili wazungu wa Rhodesia waliona maendelomaendeleo mengi lakini Waafrika walianza kusikitika zaidi. [[ANC]] ya Afrika Kusini ilienea hadi Rhodesia. Mwenyekiti wake tangu 1957 alikuwa kijana [[Joshua Nkomo]]. ANC ilipopigwa marufuku 1959 Nkomo akaenda Uingereza akarudi 1960 na kuunda National Democratic Party of Zimbabwe (NDP) iliyopigwa marufuku 1961 akaunda [[ZAPU]].