George Tyson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d George Tyson
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:05, 21 Agosti 2007

George Tyson. ni Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson Mwenye Asili ya Kenya anaye fanyia shughuli zake nchini Tanzania amejizolea Umaarufu Mkubwa nchini Tanzania kwa Kuongoza baadhi ya Filamu za Kitanzania na hizo Filamu ya kwanza ni Girl Friend na Dillema, Jamaa ana mtindo wa kipekee kwenye Filamu ambazo yeye anongoza mara nyingi huweka watu wazito kivipi. yaani yeye hufanya kazi na wasanii wa Bongo Flava au Wabunge au Watangazaji hapo tu ndo amekuwa tofauti na waongozaji wengine wa Filamu.