Kuku-mwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Lugha nyingine
Mstari 17:
''[[Picathartes oreas|P. oreas]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1899</small>
}}
'''Kuku-mwamba''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] ''[[Picathartes]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Picathartidae]]. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[Afrika]] chinikusini yakwa [[Sahara]]. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la [[kunguru]] na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula [[mdudu|wadudu]], kama [[bungo]], [[mchwa]] na [[sisimizi]], pia [[jongoo]], [[tandu]], [[nyungunyungu]], [[konokono]] na hata [[chura|vyura]] na [[mjusi|mijusi]]. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili.
 
==Spishi==
Mstari 24:
 
[[Jamii:Kunguru na jamaa]]
 
[[br:Picathartidae]]
[[da:Klippehoppere]]
[[de:Felshüpfer]]
[[en:Picathartes]]
[[es:Picathartes]]
[[eo:Pikatartedoj]]
[[fr:Picatharte]]
[[lv:Klinšuvārnas]]
[[hu:Picathartes]]
[[nl:Picathartes]]
[[ja:ハゲチメドリ科 (Sibley)]]
[[pl:Sępowronki]]
[[pt:Picathartidae]]
[[fi:Kaljukkaat]]
[[vi:Chim hói đầu]]