Kuku-mwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Lugha nyingine
Ramani na picha
Mstari 2:
| rangi = pink
| jina = Kuku-mwamba
| picha = White-necked Rockfowl (Picathartes gymnocephalus)cropped.jpg
| picha = PicathartesKeulemans.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Kuku-mwamba shingo-nyeupe
Mstari 16:
| spishi = ''[[Picathartes gymnocephalus|P. gymnocephalus]]'' <small>([[Coenraad Jacob Temminck|Temminck]], 1825)</small><br>
''[[Picathartes oreas|P. oreas]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1899</small>
| ramani = PicathartesDistribution.svg
| maelezo_ya_ramani = Usambazaji wa kuku-mwamba (pinki=P. gymnocephalus; buluu=P. oreas)
}}
'''Kuku-mwamba''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] ''[[Picathartes]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Picathartidae]]. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[Afrika]] kusini kwa [[Sahara]]. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la [[kunguru]] na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula [[mdudu|wadudu]], kama [[bungo]], [[mchwa]] na [[sisimizi]], pia [[jongoo]], [[tandu]], [[nyungunyungu]], [[konokono]] na hata [[chura|vyura]] na [[mjusi|mijusi]]. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili.
Line 22 ⟶ 24:
* ''Picathartes gymnocephalus'', [[Kuku-mwamba Shingo-nyeupe]] ([[w:White-necked Rockfowl|White-necked Picathartes]] au Rockfowl)
* ''Picathartes oreas'', [[Kuku-mwamba Shingo-kijivu]] ([[w:Grey-necked Rockfowl|Grey-necked Picathartes]] au Rockfowl)
 
==Picha==
<gallery>
File:PicathartesReichenow.jpg|Kuku-mwamba shingo-nyeupe na shingo-kijivu
</gallery>
 
[[Jamii:Kunguru na jamaa]]