Hosea : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Ondoa: fr, la, sv, de, no, it, fi, en, sk, zh, ru, cs, jv, ja Badiliko: pt |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Hosea.jpg|thumb|200px|right|[[Picha]] ya nabii Hosea ya [[karne ya 18]], [[monasteri]] ya [[Kizhi]], [[Karelia]], [[Russia]].]]
Wakati wa nabii [[Amosi]], Hosea (kwa [[Kiebrania]] הושע, ''hoshè'a'')(750-725 hivi K.K.) pia alianza kazi yake katika ufalme wa [[Israeli]] (Kaskazini).▼
▲
Yeye hakufundisha kwa maneno tu, bali hasa kwa matendo ya kushangaza: mtindo huo ukatumika na manabii wengi, hata na [[Yesu Kristo]]. ▼
==Maisha==
Sura 1-3 za kitabu chake katika [[Biblia]] ([[Agano la Kale]]) zinasimulia alivyompenda mke wake [[Gomeri]] aliyemzalia watoto wa [[uzinzi]], hata hivyo akaendelea kumpenda na kumtafuta hata akamkomboa na kumrudisha.▼
▲Wakati wa nabii [[Amosi]], Hosea pia alianza kazi yake. Yeye hakufundisha kwa maneno tu, bali hasa kwa matendo ya kushangaza: mtindo huo ukatumika na manabii wengi, hata na [[Yesu Kristo]].
▲Sura 1-3 za [[Kitabu cha Hosea|kitabu]] chake katika [[Biblia]] ([[Agano la Kale]]) zinasimulia alivyompenda [[mke]] wake [[Gomeri]] aliyemzalia watoto
Mfano huo wa upendo wa [[Mungu]] kwa bibiarusi asiye mwaminifu (yaani taifa aliloliteua) likazidi kuzingatiwa mpaka katika [[Agano Jipya]] na kuchangia uimara wa [[ndoa]].▼
▲Mfano huo wa [[upendo]] wa [[Mungu]] kwa [[bibiarusi]] asiye mwaminifu (yaani [[taifa]] aliloliteua) likazidi kuzingatiwa mpaka katika [[Agano Jipya]] na kuchangia uimara wa [[ndoa]].
==Viungo vya nje==
*[http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=102983 Nabii Hosea] Picha na habari zake
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Manabii katika Uislamu]]
[[da:Hoseas' Bog]]
|