Antonio Casas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: fr:Antonio Casas
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Mstari 19:
'''Antonio Casas''' (alizaliwa tar. [[11 Novemba]], [[1911]] mjini A Coruña, Galicia, - akafariki dunia tar. [[14 Februari]] mwaka [[1982]] mjini [[Madrid]], [[Hispania]]) alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa [[Hispania]], aliekuja kuwa mwigizaji wa filamu kati ya mwaka [[1941]] na [[1982]] kifo chake kilivyowadia.
 
Casas awali aliaza kama mchezaji [[Mpira wa Miguu|mpira wa miguu]] lakini baadae akajiingiza katika masuala ya ugizaji wa filamu mnamo mwaka 1941 na akafanya karibuni filamu 170 za kikawaida na TV pia hadi 1982. Casas alionekana katika filamu iliongozwa na [[Sergio Leone]] zile za Spaghetti Western, filamu yenyewe ilikuwa ile ''The Good, the Bad and the Ugly'' mnamo mwaka [[1966]], ni filamu ambayo iliwahi kuchaguliwa kuwa itakuwa bora kwa miaka yote.
 
Mnamo miaka ya [[1970]] alifanya kazi katika televisheni lakini akarudi tena katika uwanja filamu baada ya [[1975]] akuachia tena shughuliza uigizaji hadi kifo chake kilivyowadia mwaka [[1982]].