Kitabu cha Yobu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: tr:Eyüp kitabı
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Mstari 19:
Kama ilivyo katika utunzi wo wote, msemo wake na aina ya utunzi wa maneno unastaajabisha wala maneno yake hayakukusudiwa kutafsiriwa moja kwa moja kila mara. Wala kitabu hiki hakikuandikwa ili kichunguzwe mstari kwa mstari, kwa sababu mara nyingine mstari mzima au hata mfululizo wa mistari kadhaa hutumiwa kueleza wazo moja tu la kimsingi. Mashairi ya Kiebrania kwa jumla na hasa maandiko ya hekima ya Kiebrania yalikuwa na maana ya pekee ambayo iliyafanya yatofautiane na maandiko mengine ya kawaida ya Agano la Kale.
 
Kwa kuelewa maana hiyo zaidi, kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Kumfahamu Ayubu==