Marianne Koch : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: herufi kubwa ---> ndogo, replaced: Waigizaji wa Filamu za Western → Waigizaji wa filamu za Western using AWB
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Mstari 18:
}}
 
'''Marianne Koch''' (amezaliwa tar. [[19 Agosti]], [[1931]]) ni daktari wa tiba na mwigizaji filamu mstaafu wa [[Ujerumani]], aliyecheza filamu kati ya miaka ya [[1950]] na [[1960]], anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika [[Filamu za Western|filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Westerns|spaghetti westerns]], na filamu za kipelelezi za miaka ya [[1960]].
 
Marianne ameonekana katika zaidi ya filamu 65 kati ya mwaka [[1950]] na [[1970]] zikiwemo na filamu ziliongozwa na [[Sergio Leone]], ambayo ni "A Fistful of Dollars" ya mwaka [[1964]] ambayo ndio picha inayoneka amekaa na [[Clint Eastwood]].