Masinde Muliro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d clean up using AWB
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Mstari 19:
Kutoelewana kuliepuka kati ya wapinzani wakuu wawili, Oginga Odinga na Kenneth Matiba, kila mmoja wao akigombea urais na kutotaka kuwasikiliza wanachama wenzao. Ilikuwa muda mfupi baadaye wakati Muliro aliondoka na kuelekea London ili kuchangisha fedha kwa ajili ya chama kipya cha kisiasa cha Ford. Ilikuwa safari ya bahati mbaya: kwani alipokuwa anarejea, alipowasili katika uwanja wa ndege wa Nairobi asubuhi ya tarehe 14 Agosti, 1992 akizimia na kufa. Utata wa kifo chake uliimarishwa kwa kutokuwepo kwa uchunguzi rasmi wa mwili yake. Muliro alizikwa katika shamba yake katika eneo la [[Kitale]] nchini Kenya.
 
Chama cha FORD kiligawanyika katika makundi mawili baada ya kifo cha Muliro kutokana na kutokubaliana kuhusu na nani ambaye angegombea kiti cha urais dhidi ya Rais Moi. Kenneth Matiba na Martin Shikuku wakidai kuwa wao ndio wamiliki halisi wa FORD na walijiondia na kuunda chama cha [[FORD Asili|Ford Asili]] huku Odinga na wengine wakijitenga na kuunda [[FORD Kenya|Ford Kenya]]. . Iwapo Masinde Muliro hangeaga dunia, FORD ya awali ingebakia kwa umoja na pengine chama hiki kingemwondoa rais Moi na chama tawala cha KANU utawalani katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 1992.
 
==Marejeo==