Tofauti kati ya marekesbisho "Ng'ombe"

67 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (r2.6.4) (roboti Nyongeza: uk:Корова)
Wataalamu huamini ya kwamba aina zote za ng'ombe zina asili katika [[mashariki ya kati]] mnamo [[milenia ya 9 KK]] ambako watu waliwahi kuwafuga na kutoka hapa [[ufugaji]] ng'ombe ulisambaa kote duniani.
 
Ng'ombe wanapatikana kote duniani na kuna aina kwa kila namna ya [[hali ya hewa]]. Wengine huishi katika milima [[baridi]] za [[Uskoti]] au [[Skandinavia]], wengine katika [[joto]] la [[AfrikaAfrica]] au [[Australia]].
 
Wanacheua [[chakula]] chao na huwa na [[tumbo]] lenye vyumba vinne. Baada ya kula [[nyasi]] mara ya kwanza wanairudisha kutoka chumba cha kwanza cha tumbo na kuitafuna tena. Kwa njia hii wanapata lishe nyingi kutoka nyasi.
 
Ngombe za kiafrica:
 
1. Tutsi/Ankole
 
2. Zebu
 
3. Boran
 
4. Ngoni
 
<gallery>
Anonymous user