Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Neno la Kaisari liliingia lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]. Austria na Ujerumani zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] 1918 na wafalme wenye cheo cha "Kaisari". Vilevile mfalme wa Urusi alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "Tsar" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
 
Lugha za [[Kiingerezea]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha Macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari)kilichokuwa "Emperor" ([[KiingerezaKiingKiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]). Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa Uajemi na mtwala wa Japon waliweza kuitwa kwa cheo "Kaisari".
 
[[da:Cæsar]]