Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: jv:Rayap
Masahihisho
Mstari 23:
* †Termopsidae
}}
'''Mchwa''' ni [[mdudu|wadudu]] wadogo wa [[oda]] [[Isoptera]] wanaoishi kwa makoloni makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Takriban spishi zote hula ubao. Kila koloni lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na wafanya kazi. WaduduAskari hawana wafanya kazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme walikuwa na mabawa wakati walikuwa vijana. Mfalme anamtia malkia [[mimba]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanya kazi wanafanya kazi zote nyingine. Mara kwa mara wafanya kazi wanawapatia majana kadhaa chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa [[kumbikumbi]].
 
==Picha==