Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Utenzi
No edit summary
Mstari 1:
Maana ya '''utendiUtendi''' ni aina ya [[ushairi]], tena nina [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. Kule [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; tena kulena [[UhindiIndia]] k.m. kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.
 
[[Category:Fasihi]]