Siwa barafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nah:Cetepetl
d r2.7.2) (roboti Badiliko: nah:Cetepētl; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Greenland Ilulissat-25.jpg|thumb|right|Siwa barafu]]
[[ImagePicha:Iceberg.jpg|thumb|right|Siwa barafu inaweza kuwa na umbo kama hili; asilimia kubwa iko chini ya maji]]
 
'''Siwa barafu''' ni kipande kikubwa cha [[barafu]] kinachoelea baharini. Siwa barafu inaweza kusukumwa na mikondo ya baharini hadi kufika kwenye maji ya vuguvugu inapoyeyuka; kinyume chake inaweza kusukumwa dhidi ya maganda makubwa ya barafu inapounganika nayo.
 
== Asili ya siwa barafu ==
Kwa kawaida siwa barafu hupatikana kama vipande vinavunjika kwenye [[barafuto]] inayoishia pwani na kuanguka kwenye maji ya bahari. Njia nyingine ni kuvunjika kwa vipande vya maganda ya barafu yanayofunika [[ncha ya kaskazini]] na [[Antaktika]].
 
== Tabia ==
Barafu ni nyepesi kushinda maji na hivyo kipande cha barafu kitaelea kwenye maji lakini sehemu kubwa ya siwa barafu iko chini ya maji.
 
Siwa barafu huelea pamoja na mwendo wa [[mikondo ya bahari]]. Kadiri inavyofika kwenye maji yasiyo baridi tena muda wa maisha ni miezi hadi miaka kadhaa. Muda huu hadi kuyeyuka kabisa unategemea ukubwa wa siwa barafu na halijoto ya eneo inapofika. Zimetazamiwa kwa muda wa miaka 3.
Mstari 16:
Siwa barafu kubwa iliyopimwa hadi sasa ilikuwa kipande kikubwa kilichovunjika Antaktika mwaka 2000; urefu wake ulikuwa kilomita 295 na upana kilomita 37. Eneo lake lilikuwa 11,000 [[km²]] na masi yake [[tani]] bilioni tatu.
 
== Hatari kwa meli ==
Siwa barafu ni hatari kwa [[meli]] kwa sababu sehemu kubwa iko chini ya maji ni asilimia 10 pekee inaonekana juu ya uso wa bahari. Kama meli inakaribia mno kuna uwezekano ya kwamba siwa barafu iko chini ya maji mita mamia kutoka kilele chake kinachoonekana juu na meli inaweza kugonga sehemu ile isiyoonekana.
 
Kwa njia hii jali zinatokea tena na tena na mfano mashuhuri ni ajali ya meli [[Titanic]] iliyozama chini mwaka 1912 baada ya kugongwa na siwa barafu. Watu zaidi ya 1,500 walikufa baharini.
 
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[CategoryJamii:Maji]]
 
[[ang:Īsbeorg]]
Mstari 63:
[[mr:हिमनग]]
[[ms:Aisberg]]
[[nah:CetepetlCetepētl]]
[[nds:Iesbarg]]
[[nl:IJsberg]]