Matsuo Bashō : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: kk:Мацуо Басё
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: ia:Matsuo Bashō; cosmetic changes
Mstari 5:
Husifiwa kama mshairi mashuhuri wa kipindi cha [[nasaba ya Edo]]. Amesifiwa hasa kwa ajili ya mashairi yake aina ya [[haiku]] ambayo ni mashairi mafupi yenye silabi 5-7-5. Haiku zake zinaandikwa mara nyingi kwenye majengo au sanamu nchini Japani.
 
== Maisha ==
Alizaliwa Iga kwenye kisiwa kikuu cha [[Honshu]] upande wa magharibi wa [[Tokyo]] mnamo 1644 katika familia ya makabaila wadogo wa [[samurai]]. Alijifunza mwenyewe kazi ya vita kama samurai akaiacha badaye kuwa mwandishi na mashiri akadumisha maisha yake kama mwalimu. Alizunguka kote nchini Japani. Alijenga nyumba yake mjini Fukagawa kando la mjini wa kifalme wa Edo (leo: eneo la Tokyo) alipopanda mgomba bustani mwake akaipenda na kujiita "Basho" kwa sababu mgom ba kwa Kijapani ni "basho".
Mstari 56:
[[hu:Macuo Basó]]
[[hy:Մացուո Բասյո]]
[[ia:Matsuo Bashō]]
[[id:Matsuo Basho]]
[[is:Matsuo Bashō]]