Bolivia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Ondoa: ks:बोलिविया
No edit summary
Mstari 55:
Imepakana na [[Brazil]], [[Paraguay]], [[Argentina]], [[Chile]] na [[Peru]].
 
Nchi inakatwa na safu mbili za milima ya [[Andes]] zenye kimo hadi m 6500 mjuu juuy aya UB. Nyanda za juu ([[Kihisp.]]: "[[Altiplano]]") zinakaliwa na wakazi wengi (80%) ziko kwenye kimo cha 3.000 hadi 4.000 m. Altiplano ni takriban theluthi moja ya eneo la nchi; sehemu nyingi ni tambarare ya "llanos" ambayo ni nchi ya chini yenye joto ambayo ina sehemu mbili: savana kavu za [[Gran Chaco]] na misitu minene ya beseni ya [[Amazonas]].
 
Ziwa la [[Titicaca]] liko kwenye Altiplano.