Francois Jacob : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Francois Jacob''' (amezaliwa 17 Juni, 1920) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vijidudu mbalimbali. Mwaka wa...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:02, 23 Agosti 2007

Francois Jacob (amezaliwa 17 Juni, 1920) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vijidudu mbalimbali. Mwaka wa 1965, pamoja na Andre Lwoff na Jacques Monod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.