Jacques Monod : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Jacques Lucien Monod''' (9 Februari, 191031 Mei, 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza [[us...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:03, 23 Agosti 2007

Jacques Lucien Monod (9 Februari, 191031 Mei, 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza usanisi wa vimeng'enya ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1965, pamoja na Francois Jacob na Andre Lwoff alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.