Josef Stalin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: ang:Iosep Stalin
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:JStalin Secretary general CCCP 1942.jpg|thumb|right|Josef Stalin]]
'''Joseph Vissarionovich Stalin''' ([[Kirusi]] Иосиф Виссарионович Сталин (Iosif Vissarionovich Stalin), kwa jina la kiraia Джугашвили (Dzhugashvili), [[Kigeorgia]]: იოსებ ჯუღაშვილი (Ioseb Jughashvili); (* [[18 Desemba]] <small> (katika [[Kalenda ya Juliasi]]: 6 Desemba)</small> [[1878]] – + [[5 Machi]] [[1953]]) alikuwa mwanasiasa Mrusi kutoka [[Georgia (nchi)|Georgia]] aliyeshiriki pamoja na [[Lenin]] katika [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917]] na kuwa kiongozi wa [[chama cha kikomunisti]] halafu kiongozi mkuu wa [[Umoja wa Kisovyeti]] baada ya kifo cha Lenin.
 
Alitawala Urusi kama [[dikteta]] kwa unyama aliyesababishana kusababisha vifo vya mamilioni ya watu. Alifaulu kujenga uchumi na jeshi la [[Umoja wa Kisovyeti]] na kutetea nchi dhidi ya mashambulio ya [[Ujerumani]] wakati wa vita[[Vita kuuKuu ya piliPili ya duniaDunia]]. Alikuwa kati ya washindi wa vitaVita kuuKuu ya piliPili akapanusha utawala wake juu ya nchi za Ulaya ya Mashariki na ya Kati kama vile [[Poland]], [[Uceki]], [[Hungaria]], [[Romania]], [[Bulgaria]] na sehemu ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani|mashariki ya Ujerumani]].
 
Stalin alikubaliwa kama kiongozi wa nchi zote za kikomunisti pamoja na [[China]], [[Vietnam]] na [[Korea ya Kaskazini]] hadi kifo chake.
 
Alifuatwa na [[Nikita Krushchov]] kama kiongozi wa chama na Umoja wa Kisovyeti.