Tofauti kati ya marekesbisho "Bongo Flava"

d
Bongo Flava
d (Bongo Flava)
[[Image:Nako 2 Nako.jpg|thumb|right|160px| Kundi la [[Hip Hop]] Kutoka [[Kaskazini]] mwa [[Tanzania]] '[[Arusha]]' ( Nako 2 Nako )]]'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni R&B, Rap & Hip Hop. ni muziki wa mchanganyiko wa midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.
 
==Viungo vya nje==
{{mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Bongo, Flava}}
[[Category: MuzikiWanamuziki wa Tanzania]]
[[Category:Hip Hop ya Bongo]]
[[Category:Muziki wa Kizazi Kipya]]
12

edits