Marumaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: 225px|right|thumb|Uchoraji asilia waonekana kwenye uso wa marumaru iliyokatwa na kusuguliwa. [[Image:Wenuszmf.jpg|thumb|120px|right|Sanamu ya marumar...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Landscape marble skyline.jpg|225px|right|thumb|Uchoraji asilia waonekana kwenye uso wa marumaru iliyokatwa na kusuguliwa.]]
[[Image:Wenuszmf.jpg|thumb|120px|right|Sanamu ya marumaru yamwonesha mungu wa Kiroma Venus]]
'''Marumaru''' (pia: '''marmar''' - kutoka [[kar.]] مرمر) ni mwamba wa [[gange]] uliobadilika kutokana na joto na shindikizo ndani ya [[ganda la dunia]] katika kipindi cha miaka mamilioni. Kikemia ni hasa CaCO<sub>3</sub>.
 
Ni jiwe gumu sana inayopatikana katika rangi mbalimbali.