Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bongo Flava
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Nako 2 Nako.jpg|thumb|right|160px| Kundi la [[Hip Hop]] Kutoka [[Kaskazini]] mwa [[Tanzania]] '[[Arusha]]' ( Nako 2 Nako )]]'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni mchangayiko wa R&B, Rap &, Hip Hop., ni muziki wa mchanganyiko wana midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.
 
==Viungo vya nje==