Kiiyive : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiiyive''' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waiyive. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiiyive ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:30, 11 Desemba 2011

Kiiyive ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waiyive. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiiyive nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 1000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiyive kiko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiyive kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.