Morgunblaðið : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: az:Morgunblaðið (qəzet)
d r2.7.2) (roboti Badiliko: az:Morgunblaö (qəzet); cosmetic changes
Mstari 6:
| lilianzishwa = 2 Novemba, [[1913]]
| eneo = [[Iceland]]
| mwanzilishi = *. Vilhjálmur Finsen<br />*. Olaf Björnsson
| nchi = [[Iceland]]
| mhariri = Davíð Oddsson <small>'''mmoja wa timu ya wahariri'''<small>
Mstari 17:
| tovuti = [http://www.mbl.is Tovuti Rasmi ya ''Morgunblaðið'']
}}
== Historia ==
'''''Morgunblaðið''''' (Swahili: ''Gazeti la Asubuhi'') ni gazeti linalochapishwa katika nchi ya [[Iceland]],lilianzishwa na Vilhjálmur Finsen & Olaf Björnsson. Toleo la kwanza lilikuwa na kurasa nane tu lilichapishwa tarehe 2 Novemba, 1913. Miaka sita baadaye, katika mwaka wa 1919,shirika la Árvakur likanunua kampuni hiyo. Jarida hili lilikuwa na uhusiano wa karibu na chama cha Independence, hasa wakati wa [[Vita Baridi]]. Wahariri wake na wanaripoti wake wa bunge waliketi katika mikutano ya bunge mpaka mwaka wa 1983,wakati Mwenyekiti wa Bodi ya Árvakur alikuwa ,pia, Mwenyekiti wa chama cha Independence,Geir Hallgrímsson. Kulikuwa na uamuzi kuwa uhusiano huo haungesaidia chama au gazeti hilo kwa njia yoyote. Ingawa uhusiano na chama cha Independence sio wa moja kwa moja kama ule wa miongo iliyopita, jarida hili hukosolewa kwa kuegemea msimamo wa chama hicho hasa katika misimu ya uchaguzi. Jarida hili huwa na maadili ya kihafidhina sawa na yale ya chama cha Independence na limeonyesha msimamo huru katika masuala kadhaa muhimu kama mjadala kuhusu usambazaji wa haki za uvuvi. Hivi majuzi, gazeti hili limechukua hatua ya kuajiri wanahabari waliochukua msimamo wa kuegemea sera za ''kushoto'' na gazeti hili limeendeleza sera za kutetea haki za wanawake katika kurasa zake.
 
Mstari 38:
 
{{DEFAULTSORT:Morgunbladid}}
[[CategoryJamii:Majarida yaliyoanza 1913]]
[[CategoryJamii:Magazeti ya Iceland]]
 
[[az:MorgunblaðiðMorgunblaö (qəzet)]]
[[da:Morgunblaðið]]
[[de:Morgunblaðið]]