Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB
NAITWA ALBERT SOVELA wa kijiji cha NHUNGU UWANJI...more information will be added
Mstari 9:
[[en:Wanji people]]
[[eo:Vanĝioj]]
Ni kweli wawanji ni kabila lililo wilaya ya makete mkoa wa iringa...lakini ki ukweli kabila hili mlilitakiwa liwe mkoani mbeya na katika wilaya tofauti na ya makete..hatuna mahusiano hata kidogo na watu wa iriga-makete cha zaidi tu ni ukaribu wa baadhi ya misamiati ya lugha yetu ya kiwanji.Nigependekeza moja kwa moja kabila lihamishiwe mkoani mbeya na pia liwe na jimbo lake linalotambulika kitaifa.
kabila la wawanji limetokana na mwigiliano wa makabila tofauti ya hapa tanzania, mfano WABENA, WAKINGA,WAMAGOMA,WAHEHE na mengineyo..kutokana na hadhi ya kujitambua watu wake wameamua kujipa kabila lake tofauti la kiwanji.
kwa sasa 2011 na miaka michache iliyopita kabila limejikuta linaingiliwa na watu wengi wageni kutoka maeneo tofauti na kuanzisha makazi yao hasa eneo la kijiji cha MATAMBA.
UWANJIINA MUUNGANIKO WA VIJIJI VIFUATAVYO....NHUNGU, KINYIKA, NDAPO, NGOJE, MATAMBA, MAHANJI, MPANGALA, MAGOYE,MPANGALA, MFUMBI,IKUWO, MLONDWE, MBELA, KISAULA, MASOLI, NG"ONDE na vinginevyo.....Naitwa ALBERT SOVELA mkazi wa kijiji cha Nhungu Uwanji