Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: su:Républik Démokratik Kongo
No edit summary
Mstari 8:
image_map = Democratic Republic of the Congo (orthographic projection).svg |
national_anthem = [[Debout Congolais]] |
official_languages = [[Kifaransa]] ([[KilingalaKingala]], [[Kikongo]], [[Kiswahili]], [[KitshilubaKiluba]] ni lugha ya taifa) |
capital = [[Kinshasa]] |
latd=4|latm=24|latNS=S|longd=15|longm=24|longEW=E|
Mstari 87:
[[Kifaransa]] ni [[lugha rasmi]] ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ilikuwa lugha ya utawala ya koloni ikaendelea kutumiwa kama lugha isiyoelekea upande wowote kati ya makabila, lugha na tamaduni za nchi hii. Lugha ya [[Kiholanzi]] ilitumiwa na Wabelgiji pamoja na Kifaransa katika utawala haiko tena.
Kwa jumla kuna takriban lugha 242 zinazozungumzwa nchini (angalia [[Orodha ya lugha za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|orodha ya lugha]]). Lugha 4 zinatambuliwa kama lugha za kitaifa ambazo ni [[Kikongo]] ([[Kituba]]), [[KilingalaKingala]], [[TshilubaKiluba]] (''Tshiluba'') na [[Kiswahili]].
 
[[KilingalaKingala]] kilikuwa lugha rasmi ya jeshi la kikoloni liloitwa "[[Force Publique]]" chini ya utawala wa Ubelgiji likaendelea kuwa lugha ya jeshi la jamhuri baada ya uhuru. Tangu mapinduzi ya 1997 sehemu za jeshi hasa katika mashariki hutumia pia Kiswahili.
 
Wakati wa ukoloni lugha nne za kitaifa ziliwahi kutumiwa kieneo katika shule za msingi.