Wakati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: la:Tempus is a featured article
viungo
Mstari 21:
Vipimo vya wakati hutumia matokeo yanayorudia mara kwa mara bila mabadiliko.
 
Kipimo cha kawaida ni siku au kwa lugha nyingine muda wa mzunguko 1 wa [[dunia]] yetu unaonekana kwetu kutokana mabadiliko ya mchana na usiku.
 
Muda huu wa Mzunguko mmoja hugawiwa kwa [[masaa]] 24 na kuitwa "[[siku]]". Saa hugawiwa kwa [[dakika]] 60 na kila dakika kwa [[sekunde]] 60.
 
Mbio mmoja wa dunia yetu kuzunguka [[jua]] huitwa "[[mwaka]]". Utaratibu wa miaka hupangwa kwa njia ya [[kalenda]].
 
Vipindi kama [[mwezi]] na [[wiki]] hupanga siku ndani ya kalenda.
 
[[Picha:ChipScaleClock2 HR.jpg|thumb|200px|Saa atomia]]
== Vipimo vya Kisayansi ==
Sayansi haijaridhika tena na vipimo hivi vya kawaida. Mizunguko ya dunia au siku hazilingani kikamilifu. Hapa sayansi imeondoka katika siku kama msingi wa vipimo bya wakati. Badala yake imechukua muda wa sekunde na kukiliganisha kwa mwendo wa [[atomi]].
 
Katika vipimo sanifu vya kimataifa sekunde imewekwa kama muda wa radidi (periodi) 9,192,631,770 za [[mnururisho]] wa [[atomi]] ya [[caesi]] ya <sup>133</sup>Cs.
 
== Vipindi vya wakati ==