Voltaire : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: ca:Voltaire is a featured article
No edit summary
Mstari 17:
'''François-Marie Arouet''' anayejulikana zaidi kwa jina la '''Voltaire''' alikuwa mwandishi na mtaalamu wa [[falsafa]] kutoka [[Ufaransa]].
 
Anahesabiwa kati ya waanzilishaji wa [[zamaZama za Mwangaza]] nchini Ufaransa.
Alitetea uhuru wa mawazo na uhuru wa dini ingawa wakatienzi wakezake sheria za Ufaransa zilikuwa vikalikali na dini iliamriwa na serikali, kama ilivyokuwa katika nchi nyingi za Ulaya.
 
Kwa miaka 3 (kuanzia [[1726]] hadi [[1729]]) alipaswa kuondokaaliondoka nchini na kuishi ugenini huko [[Uingereza]] ambapo mawazo yake yalikubalika zaidi. Inasemekana alikwenda akiwa msanii akarudi ni mwanafalsafa, akimfuata hasa Locke.
 
Baadaye akaendaalienda kuishi [[Berlin]] ([[Prussia]], leo [[Ujerumani]]), halafu tena [[Uswisi]]. alipobaki mpaka karibu na kufa.
 
Aliandika mengi pamoja na tamthiliya, shairi na maigizo. Maandiko yake yaliathiri [[Mapinduzi ya Marekani]] na [[Mapinduzi ya Ufaransa]] ya [[1789]].