Greenwich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nn:Greenwich (fleirtyding)
kusahihisha viungo
Mstari 3:
Kiasili ilikuwa jina la mji mdogo Greenwich karibu na [[London]] ambayo sasa imekuwa sehemu ya jiji hili kubwa.
 
Greenwich hii ilikuwa makao makuu ya wafalme wa [[Uingereza]] wakati wa karne ya 15. Baadaye mji umekuwa maarufu kutokana na kituo cha kuangalia nyota kwa sababu [[meridiani]] yake imekuwa msingi wa kipimo cha [[longitudo]] duniani na pia msingi wa ugawaji wa dunia katika [[kanda za nyakatimuda]].
 
Kuna pia miji ianyoitwainayoitwa Greenwich huko [[Kanada]], [[Marekani]] na [[Australia]].
 
==Tazama pia==
* [[Greenwich, (Connecticut)]]
* [[Greenwich, (Kansas)]]
* [[Greenwich, (Massachusetts)]]
* [[Greenwich, (New Jersey)]]
* [[Greenwich, (Ohio)]]
* [[Greenwich, (Utah)]]
* [[Greenwich Village]] ndani ya jiji la New York