Tofauti kati ya marekesbisho "Muda sanifu wa dunia"

No change in size ,  miaka 8 iliyopita
sahihisho dogo
d (Coordinated Universal Time umesogezwa hapa Muda sanifu ya dunia: makala imeswahilishwa kutoka tafsiri ya google)
(sahihisho dogo)
 
==Hesabu ya muda kulingana na kanda==
Kutokana na meridiani ya Greenwich dunia imegawiwa kwa [[kanda muda]] ambazo ni kwa sasa 2840. Ndani ya kila kanda muda ni saa ileile. Mfano mtu anapiga simu ya nje kutoka Tanzania saa 2 usiku atampata mwenzake pia saa 2 kama yuko huko [[Kenya]], [[Uganda]], [[Ethiopia]], [[Sudani]] au [[Uarabuni]] maana wote wako kanda muda moja. Lakini akipiga simu huko China atapampata mwenzake saa 8 usiku maana huko saa inatangulia masaa 5; kinyume akipiga wakati huohuo New York Marekani ataongea na mtu aliye kwenye saa 6 mchana.
 
Kwa lugha ya muda sanifu ya dunia Mtanzania wetu alipiga simu saa "17.00 UTC+3" yaani saa 11 jioni kwenye meridiani ya sifuri ongeza masaa matatu. Wenzake huko Beijing wako kwenye saa "17.00 UTC+8" (mahali pa kuongeza masaa 8 kwenye saa ya meridiani ya sifuri) na rafiki pale [[New York]] yuko saa "17.00 UTC-5" (mahali pa kutoa masaa 5 kwenye saa ya Greenwich). Kwa hiyo tofauti kati ya Daressalaam au Nairobi ni masaa 8 maana masaa 3 kutoka Afrika ya Mashariki hadi meridiani ya sifuri na tena masaa 5 hadi New York. Tukipiga simu mbali zaidi upande wa magharibi mfano Los Angeles tofauti kuwa kubwa zaidi.