Tofauti kati ya marekesbisho "Muda sanifu wa dunia"

339 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
masahihisho madogo
(Wa)
(masahihisho madogo)
 
==Hesabu ya muda kulingana na kanda==
Kutokana na meridiani ya Greenwich dunia imegawiwa kwa [[kanda muda]] ambazo ni kwa sasa 40. Ndani ya kila kanda muda ni saa ileile. Mfano mtu anapiga simuSaa ya njeGreenwich kutoka Tanzania saa 2 usiku atampata mwenzake pia saa 2 kama yuko hukoau [[Kenya]],meridiani [[Ugandasifuri]], [[Ethiopia]],ni [[Sudani]]wakati au [[Uarabuni]] maana wote wako kanda mudawa mojamarejeo. LakiniKutoka akipigamstari simuwake hukokila Chinamahali atapampata mwenzakeana saa 8yake usikukama maanakuongezekewa hukoau saakunpungukiwa inatanguliakutoka masaawakati 5;huu. kinyumeWakati akipigawa wakatiAfrika huohuoya NewMashariki Yorkunatangulia Marekanimasaa ataongea3 nambele mtuya aliyewakati kwenyewa saa 6 mchanaGreenwich.
 
Mfano mtu anapiga simu ya nje kutoka Tanzania saa 2 usiku atampata mwenzake pia saa 2 kama yuko huko [[Kenya]], [[Uganda]], [[Ethiopia]], [[Sudani]] au [[Uarabuni]] maana wote wako kanda muda moja. Saa ya marejeo yaani Greenwich ni sasa saa 11 mchana. Lakini akipiga simu huko [[China]] atapampata mwenzake saa 8 usiku maana huko saa inatangulia masaa 5; kinyume akipiga wakati huohuo [[New York]] ya [[Marekani]] ataongea na mtu aliye kwenye saa 6 mchana.
Kwa lugha ya muda sanifu ya dunia Mtanzania wetu alipiga simu saa "17.00 UTC+3" yaani saa 11 jioni kwenye meridiani ya sifuri ongeza masaa matatu. Wenzake huko Beijing wako kwenye saa "17.00 UTC+8" (mahali pa kuongeza masaa 8 kwenye saa ya meridiani ya sifuri) na rafiki pale [[New York]] yuko saa "17.00 UTC-5" (mahali pa kutoa masaa 5 kwenye saa ya Greenwich). Kwa hiyo tofauti kati ya Daressalaam au Nairobi ni masaa 8 maana masaa 3 kutoka Afrika ya Mashariki hadi meridiani ya sifuri na tena masaa 5 hadi New York. Tukipiga simu mbali zaidi upande wa magharibi mfano Los Angeles tofauti kuwa kubwa zaidi.
 
Kwa lugha ya muda sanifu ya dunia Mtanzania wetu alipiga simu saa "17.00 UTC+3" yaani saa 11 jioni kwenye meridiani ya sifuri ongeza masaa matatu. Wenzake huko Beijing wako kwenye saa "17.00 UTC+8" (mahali pa kuongeza masaa 8 kwenye saa ya meridiani ya sifuri) na rafiki pale [[New York]] yuko saa "17.00 UTC-5" (mahali pa kutoa masaa 5 kwenye saa ya Greenwich). Kwa hiyo tofauti kati ya Daressalaam au Nairobi ni masaa 8 maana masaa 3 kutoka Afrika ya Mashariki hadi meridiani ya sifuri na tena masaa 5 hadi New York. Tukipiga simu mahali mbali zaidi upande wa magharibi mfano [[Los Angeles]] tofauti kuwahuwa kubwa zaidi.
Nchi kubwa kama Urusi na Maekani huwa na kanda muda tofauti kati ya mashariki na magharibi; nchi ndogo zaidi kwa kawaida zimepangwa katika kanda ileile.
 
Nchi kubwa kama [[Urusi]] na MaekaniMarekani huwa na kanda muda tofauti ndani ya taifa kati ya mashariki na magharibi; nchi ndogo zaidi kwa kawaida zimepangwa katika kanda ileile.
 
==Sababu za kugawa dunia kwa kanda muda==
Ugawaji wetu wa saa za siku na usiku kiasili unafuata mwendo wa jua na nuru. Kuna mstari kuanzia kaskazini hadi kusini ya dunia unaotembea juu ya uso wa dunia ambako kunakucha wakati huohuo. Kwa kupata saa inayolingana na mwanga na nuru ingekuwa vema kama miji na vijiji vyote vinavyokaa kwenye kwenye mstari 1 wa kucha vingekuwa na wakati huohuo na hivi kama kanda muda moja.
 
Hapa siasa inaingia maana watu wanaokaa nchi moja mara nyingi wanpendeleawanapendelea kuwa na saa ileile. Hata kama tofauti ya saa ya kucha kati Zanzibar na Kigoma ni karibu saa moja miji yote miwili imepangwa ndani ya kanda muda ileile kwa sababu zote mbili ziko Tanzania.
 
Zamani hapakuwa muhimu kusanifisha wakati kwa sababu watu walisafiri au waliwasiliana polepole. Hali halisi kila mahali palikuwa na wakati wake; watu waliangalia jua wakasema sasa saa 1 asubuhi au saa 6. Hata baada ya kutokea masaa ya kwanza vifaa hivi vililinganishwaviliwekwa muda kutokana na kutokea kwa jua mahali penyewe.
 
Ni tangu kutokeakuanzishwa kwa usafiri wa reli na mawasiliano kwa [[simu]] ya kwamba haja ilitokea kulinganisha muda wa kila mahali. Maana kama zamani mtume alitembea kwa miguu au kupanda farasi kubeba barua tangu karne ya 19 ujumbe ulifika kwa simu mara moja kwenye mahali penye saa tofauti.
 
Hapo majaribio ya kulinganisha na kusafisha wakati yalitokea.
 
Nchi ya kwanza kufanya hivyo ilikuwa Uingereza ndani ya taifa ilikuwa Uingereza na hapo ni asili ya kipaumbele wake wa kihistoria inayoonekana katika chaguachaguo chala Greenwich kama rejeo lameridianila meridiani ya sifuri. Greenwich ilikuwa na kituo bora cha kuangalia nyota muhimu sana duniani na kazi ya kupima nyota ni muhmumuhimu wa kulinganisha wakati kikamilifu hadi leo.
 
[[Jamii:Vipimo vya wakati]]