Mangwair : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Mangwair
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Mangwair.jpg|right|thumb|Mangair a.k.a Mimi]]'''Albert Mangwair'''. a.k.a Mimi a.k.a Ngwair ni Msanii wa Hip Hop ya Bongo Kutoka Mkoani [[Dodoma]] lakini kwa sasa amejikita mjini Dar es Salaam [[Tanzania ]]ambako ndiko aliko kutana na Matayarishaji Mahili P Funk a.k.a Majani na kuanza kufanya kazi na Mangwair na hiyo ilikuwa mwaka 2003 na alitoa kibao cha kwanza kiitwacho Gheto Langu ninyimbo ambayo ilijibebea umaarufu mkubwa sana jijini [[Dar es Salaam]] na nchi nzima kwa ujumla. Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya [[Kill Music Award]] Kama mwana Hip Hop Bora Mnamo mwaka 2005.