Tofauti kati ya marekesbisho "Muda sanifu wa dunia"

12 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
Mawasazisho madogo tu...
(masahihisho madogo)
(Mawasazisho madogo tu...)
 
==Hesabu ya muda kulingana na kanda==
Kutokana na meridiani ya Greenwich dunia imegawiwa kwa [[kanda muda]] ambazo ni kwa sasa 40. Ndani ya kila kanda muda niwa saa ileileni uleule. Saa ya Greenwich au [[meridiani sifuri]] ni wakati wa marejeo. Kutoka mstari wake kila mahali anaina saa yake kama kuongezekewa au kunpungukiwakupungukiwa kutoka wakati huu. Wakati wa Afrika ya Mashariki unatangulia masaa 3 mbele ya wakati wa Greenwich.
 
Mfano mtu anapiga simu ya nje kutoka Tanzania saa 2 usiku atampata mwenzake pia saa 2 kama yuko huko [[Kenya]], [[Uganda]], [[Ethiopia]], [[Sudani]] au [[Uarabuni]] maana wote wako katika kanda muda moja. Saa ya marejeo, yaani, Greenwich ni sasa saa 11 mchanajioni. Lakini akipiga simu huko [[China]] atapampata mwenzake saa 8 usiku maana huko saa inatangulia masaa 5; kinyume akipiga wakati huohuo [[New York]] ya [[Marekani]] ataongea na mtu aliye kwenye saa 6 mchana.
 
Kwa lugha ya muda sanifu yawa dunia Mtanzania wetu alipiga simu saa "17.00 UTC+3" yaani saa 11 jioni kwenye meridiani ya sifuri ongeza masaa matatu. Wenzake huko Beijing wako kwenye saa "17.00 UTC+8" (mahali pa kuongeza masaa 8 kwenye saa ya meridiani ya sifuri) na rafiki pale [[New York]] yuko saa "17.00 UTC-5" (mahali pa kutoa masaa 5 kwenye saa ya Greenwich). Kwa hiyo tofauti kati ya DaressalaamDar es Salaam au Nairobi ni masaa 8 maana masaa 3 kutoka Afrika ya Mashariki hadi meridiani ya sifuri na tena masaa 5 hadi New York. Tukipiga simu mahali mbali zaidi upande wa magharibi mfano [[Los Angeles]] tofauti huwa kubwa zaidi.
 
Nchi kubwa kama [[Urusi]] na Marekani huwa na kanda muda tofauti ndani ya taifa kati ya mashariki na magharibi; nchi ndogo zaidi kwa kawaida zimepangwa katika kanda ileile.