Kontena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 4:
[[File:Container_02_KMJ.jpg|thumb|200px|Kona za kontena]]
 
'''Kontena''' (Kiing. '''container''' ) ni sanduku kubwa la metali -hasa [[feleji]]_- ambayo vipimo vyake vimesanifishwa kwa matumizi ya kimataifa. Kontena hutumiwa kutunza na kusafirisha bidhaa za kila aina kwa [[meli]], [[lori]] au [[reli]]. Kontena ndogo husafirishwa pia kwa [[ndege]].
 
Kontena zimepunguza sana kiwango cha kazi na gharama kinachohitajika kusafirisha mizigo. Zilianza kutokea mnamo 1956 huko [[Marekani]] kwa matumizi ya mizigo ya kijeshi zikaenea pia upandaupande wa meli za kiraia.
 
==Tofauti zilizotokea kwa matumizi ya kontena==