Tofauti kati ya marekesbisho "Kool G Rap"

639 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Msanii muziki 2 |Jina = Kool G Rap |Background = solo_singer |Img = Kool G Rap (cropped).jpg|300px |Img_cap = Kool G Rap akitumbuiza mjini New York City, 2004...')
 
'''Nathaniel Thomas Wilson''' (amezaliwa tar. [[20 Julai]], [[1968]]<ref name="allmusic.com">{{Allmusic|class=artist|id=p117046|pure_url=yes}}</ref>), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Kool G Rap''' (au kwa kifupi huitwa '''G Rap'''), '''Kool G. Rap''', na '''Giancana''' (Maana ya kifupisho cha ''"G."''), ni [[kurap|rappa]], kutoka mjini [[Corona, Queens|Corona]] jirani na mji wa [[Queens]], New York huko nchini [[Marekani]].<ref name="hiphopdx.com">{{cite web|last=Arnold |first=Paul W |url=http://www.hiphopdx.com/index/features/id.1051/title./p.all |title=Kool G Rap: These Are Our Heroes &#124; Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop |publisher=HipHop DX |date=March 5, 2008 |accessdate=November 13, 2011}}</ref> Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na [[DJ Polo]] na pia akiwa kama mwanachama wa [[Juice Crew]].
 
Mara kwa mara huhesabiwa kama miongoni mwa Ma-MC wenye athira na maarifa ya juu wa muda wote<ref name="Kool Moe Dee 2003, p.225, 228">Kool Moe Dee, 2003, ''There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press, p.225, 228.</ref><ref>Shapiro, Peter, 2005, ''The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition'', Penguin, p. 213-214.</ref><ref name="mtv.com">{{cite web|url=http://www.mtv.com/bands/h/hip_hop_week/2006/emcees/index12.jhtml |title=The Greatest MCs Of All Time |work=''MTV'' |date=March 9, 2006 |accessdate=November 13, 2011}}</ref><ref name="allmusicguide.com">{{Allmusic|class=album|id=r614691|pure_url=yes}}</ref><ref name="allmusic.com"/><ref name="allhiphop.com">{{cite web|author=Alvin aqua Blanco and Bun B, UGK, Pimp C |url=http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/03/16/21108470.aspx |title=Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Bun B |publisher=Allhiphop.com |date=March 16, 2009 |accessdate=November 13, 2011}}</ref><ref name="ReferenceA">[http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/01/28/20816964.aspx Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Rah Digga]{{dead link|date=November 2011}}</ref><ref name="ReferenceB">{{cite web|author=Alvin &quot;Aqua&quot; Blanco |url=http://allhiphop.com/stories/reviewsmusic/archive/2009/01/22/20803725.aspx |title=Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: RZA |publisher=Allhiphop.com |date=January 22, 2009 |accessdate=November 13, 2011}}</ref><ref name="rollingstone.com">http://www.rollingstone.com/artists/koolgrap/biography online excerpt from 2004's ''The New Rolling Stone Album Guide''. {{dead link|date=March 2011}}</ref> akiwa kama mwanzilishi wa staili ya [[mafioso rap]]/street/hardcore<ref name="mtv.com"/><ref name="rollingstone.com"/><ref name="Cobb, William Jelani 2007, p. 59">Cobb, William Jelani, 2007, ''To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic'', NYU Press, p. 59.</ref><ref name="Hess, Mickey 2007, p.57">Hess, Mickey, 2007, ''Icons Of Hip Hop'', Greenwood Publishing Group, p.57.</ref><ref name="Kool Moe Dee 2003, p.228">Kool Moe Dee, 2003, ''There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs'', Thunder's Mouth Press, p.228.</ref><ref name="ReferenceC">{{Allmusic|class=album|id=r218513|pure_url=yes}}</ref> na uimbaji wa silabinyinginyingi.<ref name="Shapiro, Peter 2005, p. 213">Shapiro, Peter, 2005, ''The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition'', Penguin, p. 213.</ref> Kwenye albamu yake ya ''The Giancana Story'', ameeleza ya kwamba herufi "G" katika jina lake humaanisha "Giancana" (kajipa jina la jambazi sugu [[Sam Giancana]]), lakini kwa namna nyingine mwenyemwenyewe eti anadai lina-maanisha "Genius".<ref name="allmusic.com"/><ref>http://halftimeonline.com/hip-hop-icon-series/kool-g-rap/2/ {{dead link|date=March 2011}}</ref>
 
Pia amewahi kutajwa na wasanii maarufu wa hip hop kama vile [[Eminem]], [[Nas]], [[Jay Z]], [[Big Pun]], [[RZA]] na wengine wengi tu.<ref name="ReferenceB" /><ref name="autogeneratedviii">Edwards, Paul, 2009, ''[[How to Rap]]: The Art & Science of the Hip-Hop MC'', Chicago Review Press, p. viii, 88, 324.</ref><ref>{{cite web|last=Arnold |first=Paul W |url=http://www.hiphopdx.com/index/interviews/id.1051/title.kool-g-rap-these-are-our-heroes |title=Kool G Rap: These Are Our Heroes &#124; Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop |publisher=HipHop DX |date=March 5, 2008 |accessdate=November 13, 2011}}</ref>
Wilson amekulia katika mazingira hafifu mno huko mjini [[Corona, Queens|Corona]] [[Queens]], New York akiwa na mtayarishaji mkongwe [[Eric B.]]<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4">Kool G Rap, Will C., 2008, ''Road to the Riches Remaster Liner Notes'', p. 4.</ref> Katika mahojiano yake na jarida la [[The Source]] alieleza;
 
{{cquote|Kukulia mjini Corona ilikuwa kama Harlem ndogo, haikuwa vigumu sana kwa mtu mweusi kujihusisha na maisha ya mtaa hasa yale ya uendawazimu. Wakati nilivyokuwa kama na umri wa miaka 515 hivi, washikaji zangu hawakuweza kuvaa nguo nzuri na kwa kipindi hicho lazima utahitaji uwe na kiasi fulani cha pesa mufukoni mwako. Hicho ndicho kilichotukumba sisi sote, kulewa na mambo mabaya. Watu weusi wanashikwa na uchizi. Watu weusi wanaanza kuuza dawa za kulevya vichochoroni, na mambo hayo yote, ndiyo mambo yaliyokuwa yakiendelea huko mitaani... hatimaye maswahiba zangu wote wakawa wavutaji. Kila mtu alikuwa anandoka kimaisha'. Maswahiba zangu wote wakaanza kufungasha vipuli vya bangi kila siku, kwa kifupi tulichizika kwa sana.<ref>|30px|30px|Kool G Rap|The Source Magazine, issue 72, September, 1995.Kool G Rap, The Source, 1995, issue # 72</ref>}}
 
Wakati fulani, Wilson alikuwa anamtafuta DJ, na kwa kupitia Eric B., akakutana na [[DJ Polo]], ambaye alikuwa anamtafuta MC wa kushirikiana nae.<ref name="Kool G Rap 2008, p. 4"/>
[[Jamii:Marapa wa Marekani]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Marekani]]
 
[[Jamii:Waimbaji hip hop wa Marekani]]