Zanzibar (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Zanzibar umehamishwa hapa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar: "Zanzibar" inafaa kuwa ukurasa wa kuonyesha maana mbalimbali ya neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, fuguvisiwa vya Zanzibar, Jiji la Zanzibar, na matumizi ya jina kwa kutaja vitabu, filamu, ma
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Zanzibar''' ni neno linalotaja
#REDIRECT [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]]
 
* kijiografia [[Funguvisiwa ya Zanzibar]] kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo
* kisiasa [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]] ambayo eneo lake ni sawa na funguvisiwa ikiwa ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya [[Tanzania]]
* [[Jiji la Zanzibar]] ambalo ni mji mkubwa wa Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
* jina kwa kutaja filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na ya neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, fuguvisiwa vya Zanzibar, Jiji la Zanzibar, na matumizi ya jina kwa kutaja vitabu, filamu, mahoteli n.k.
* katika lugha nyingi kisiwa cha Unguja huitwa Zanzibar