Kingala (Kongo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kingala (lugha) umesogezwa hapa Kingala
+Multitree, +ramani using AWB
Mstari 1:
'''KingalaKilingala''' (au '''Lingala''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] ambako ni lugha ya kitaifa. Kinazungumzwa na [[Wangala]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa KingalaKilingala kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa zaidi ya watu milioni mbili; pamoja na hayo kuna watu milioni saba ambao huongea KingalaKilingala kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kingala nchini [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] na [[Jamhuri ya Kongo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] KingalaKilingala kiko katika kundi la C40.
 
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/lin lugha ya Kilingala kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/lin.html ramani ya Kilingala]
*http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=lin