Lugha za Kisonghai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Lugha za Kisonghai ni kundi la vilugha vyenye uhusiano karibu sana zinazotumiwa na wasemaji takriban 3 milioni nchini kadhaa ya Afrika ya magharibi.'
 
No edit summary
Mstari 1:
Lugha za Kisonghai ni kundi la vilugha vyenye uhusiano karibu sana zinazotumiwa na wasemaji takriban 3 milioni 3 nchini kadhaa yamwa Afrika ya magharibi.
 
==Usambazaji wa Kijiografia==
Lugha za kisonghai zinasemwa katika upande za [[mto Niger]] nchini mwa [[Mali]], [[Niger]], [[Benin]], [[Burkina Faso]], na [[Nigeria]]. Awali, inapokuwa eneo hiyo chini ya utawala wa [[Dola ya Songhai]],lugha hizo zimekuwa kutumiwa kama lugha ya mawasiliano katika sehemu kubwa sana.
 
==Uhusiano wa kinasaba==
Uhusiano wa kisonghai na lugha zingine ni ngumu sana kuthabitisha kwa kuwa maneno mengi yenye asili nyingi mbalimbali.